pep.zone
Welcome, guest. You are not logged in.
Log in or join for free!
 
Stay logged in
Forgot login details?

Login
Stay logged in

For free!
Get started!

Guestbook


francis612.pep.zone

Guestbook

Kwanza naanza na kusema kwamba karibu sana mgeni wangu mimi naitwa francis moshi naishi tanzania mkoni mbeya eneo la uyole, napenda nikukaribishe sana katika kitabu changu ambacho kimesheheni
=story
=habari
=mawazo n.k
"STORY"
1. Kuna kijana mmoja anaitwa musa anasoma shule ya mwakaleli kidato cha 6, huyu kijana anapenda kula kula na hata hivyo kaota kitambi cha ulafi, siku moja nilimtega kwa kutaka kumnunulia chakura nikaona kaanza kufurahi wakati alikua anahasira za viboko vikali alivyochapwa na mwalimu wake wa kiswahili.


This page:
Help/FAQ | Terms | Imprint
Home People Pictures Videos Sites Blogs Chat
Top
.